Thursday, November 5, 2015

Pictures: Inauguration ceremony of #Tanzania's President @MagufuliJP #MagufuliDay #Africa

Pictures: Inauguration ceremony of 's President



President & leader join hands to congratulate President   

Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa Taifa.


Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Marais kutoka nchi mbalimbali walidhuhuria akiwemo, Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul Kagame, Yoweri Museven

Screen Shot 2015-11-05 at 4.14.44 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.14.54 PM
Dk.Magufuli wakati akila kiapo

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.06 PM
Bendera ya awamu ya tano wakati ikipandishwa

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.11 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.16 PM
Rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete akikagua gwaride kwa mara ya mwisho

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.22 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.30 PM
Dk.Magufuli akisaini hati ya kiapo

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.35 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.41 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.53 PM
Dk.Magufuli akikagua Gwaride kwa mara ya kwanza

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.01 PM
Marais wa nchi mbalimbali wakiwa na mwenyeji wao Jakaya Kikwete

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.10 PM
Kikundi cha ngoma kikitoa burudani kwa wageni waalikwa

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.19 PM
Kutoka kushoto ni makamu wa Rais mstaafu Gharib Bilal, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Yoweri Museven, Robert Mugabe na Jakaya Kikwete.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.26 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.32 PM
Dk.Magufuli akisalimiana na mama Salma Kikwete

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.41 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.48 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.54 PM
Wageni waalikwa

Screen Shot 2015-11-05 at 4.17.02 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.17.09 PM
.
Screen Shot 2015-11-05 at 4.17.17 PM