Sunday, November 8, 2015

Rais wa Corinthians athibitisha Alexandre Pato kuwa sokoni, hii ndio klabu ya Uingereza inayotajwa kumsajili?



Ikiwa bado siku kama 60 kuweza kufikia January ya mwaka 2016 wakati ambao vilabu kadhaa barani Ulaya vitakuwa vikihusishwa kusajili wachezaji kutokana na kuwa ni wakati ambao dirisha dogo la usajili litakuwa limefunguliwa, klabu ya Liverpool ya Uingereza tayari imeanza kunyemelea huduma ya mshambuliaji wa kibrazil Alexandre Pato. Alexandre Pato ambaye amewahi kuchezea klabu ya AC Milan ya […]
The post Rais wa Corinthians athibitisha Alexandre Pato kuwa sokoni, hii ndio klabu ya Uingereza inayotajwa kumsajili… appeared first on TZA_MillardAyo.

Source